Kauli za Petitman Kuhusu Bifu ya Wema na Kajala

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Meneja na mtu wa karibu wa staa Wema Sepetu, Petetman Wakuache amesema amepanga kumaliza bifu la msanii huyo na aliyekuwa rafiki yake wa zamani na msanii mwenziye wa filamu Kajala Masanja.
 
Petitman Wakuache amesema  tatizo la Wema Sepetu na Kajala Masanja linazungumziwa kwa sasa ila bado hajakaa kuzungumza nao ila kuna umuhimu wa kusameheana kwa sababu maisha ni mafupi pia kuna kifo.

"Kuhusu suala la Wema na Kajala lipo-trending kwa sasa ukizingatia kauli ya Wema Sepetu aliyoisema, kwa upande wangu huo mchakato wa kuwapatanisha unafanyika na nina mipango hiyo ya kumaliza toafuti zao, wale ni marafiki waliokuwa nusu ndugu, matatizo yanatokea kwa binadamu na tunakoseana ila mwisho wa siku tunapatana, maisha yenyewe mafupi sana kuna kifo pia" ameeleza Petitman Wakuache
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad