google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Kenya: Mawaziri, Makatibu Kuchukua Likizo ya Lazima | UDAKU SPECIAL

Kenya: Mawaziri, Makatibu Kuchukua Likizo ya Lazima

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amewataka mawaziri wote pamoja na makatibu katika wizara kuchukua likizo ya mapumziko ya lazima huku kukiwa na taarifa za mabadiliko kwenye baraza la mawaziri.

Rais Kenyatta amesema kuwa mawaziri na makatibu watalazimika kushughulikia majukumu ya dharura.

Ujenzi SGR wakamilika 87%
Kwa mujibu wa barua iliyotumwa na mkuu wa utumishi wa umma Joseph Kiyua likizo hiyo ya siku 11 itaanza Agosti 17 hadi agosti 28, mwaka huu ambapo mawaziri hawatafanya ziara za kukagua miradi na mipango ya serikali.

Likizo hiyo ya mawaziri na makatibu inakuja huku kukiwa kuna taarifa kuhusu Rais Kenyatta kuifanyia mabadiliko baraza la mawaziri.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad