Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Kijana Awa Mzigo Kwa Familia Baada ya Kuuza FIGO yake Moja ili Kununua Simu ya Iphone

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Huyu ndiye Wang Shangkun raia wa China ambaye alipokuwa na miaka 17 aliuza figo moja na fedha akanunua iPhone 4 na iPad 2. Miaka 8 baadaye, figo alilobaki nalo likashindwa kufanya kazi, sasa ana miaka 25, amelala kitandani hawezi tena kutembea, amekuwa mzigo kwa familia yake.

Post a Comment

1 Comments

  1. Figo ikibaki moja inatakiwa uangalifu wa hali ya juu hasa upande wa vyakula na vinywaji sasa ukianza kuichosha hiyo figo moja ifanye kazi ya figo mbili ni lazima itafeli.

    ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)