8/28/2020

Kikosi hiki kinaweza kuipatia Chelsea Ubingwa ?Chelsea ilianza na Hakim Ziyech kutoka Ajax kwa dau la paundi milioni 38. Chelsea haikuishia hapo katika sajili zake na kuipiku Liverpool kwa Timo Werner dau la paundi miloni 53.


Is this the all-star XI who will win Chelsea the Premier League title after £250m


The blues ilifika mbali zaidi na kuweka rekodi ya kukaribia kumsajili kijana mmoja mwenye kipaji kikubwa barani Ulaya, Kai Havertz kwa paundi milioni 90 akitokea Bayer Leverkusen.


Ben Chilwell paundi milioni 50 akitokea Leicester, na Thiago Silva akitokea Paris Saint-Germain. Malang Sarr akitokea Nice.


Mlindalango wa Ajax, Andre Onana akiwa katika rada kuwaniwa na Chelsea kuchukua nafasi ya Kepa Arrizabalga. Lampard anaonekana amepania kukiimarisha kikosi chake.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger