Kisa cha Jamaa Aliyewatunga Mimba Dada Zake Watatu Chini ya Mwaka Moja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kulingana na kisa kilichopeperushwa katika runinga ya Citizen, Jumatatu, Agosti 10, Sampei Koisi mwenye umri wa miaka 22 anadaiwa kuwatunga mimba dada zake watatu baada ya kulala nao kwa zaidi ya mwaka mmoja.

Sampei  atazuiliwa kwa muda zaidi huku uchunguzi ukiendelea kuhusiana na kisa hicho. Picha: Hisani

Dada zake hao aliowatunga mimba wana umri wa miaka 17, 14 na 12 mtawalia.

Alizungumza katika Mahakama ya Kajiado, Sampei alikiri kufanya kitendo hicho, lakini akakana  baadaye, baada ya kusomewa mashtaka kwa lugha ya nyumbani.

Hakimu katika Mahakama hiyo alitoa agizo ya kumzuilia kwa muda zaidi huku uchunguzi ukiendelea kuhusiana na kisa hicho.



Wanamtandao pia waliiomba mahakama hiyo isimuachilie kwa dhamana wakidai kuwa angemtunga mimba mwengine tena.

Visa vya watoto wa shule kupata uja uzito tangu kulipuka kwa virusi vya corona vimeongezeka maradufu, serikali ikiwaomba wazazi kuwapa wanao mwongozo mwema.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad