8/28/2020

Kocha mpya Yanga, Zlatko KrmpoticMabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Timu ya Wananchi, Vijana wa Jangwa @yangasc wamemtangaza Rasmi kocha wao mpya, Zlatko Krmpotic


Zambia : Zesco United hire Serbian National Krmpotic as Coach


Zlatko Krmpotic ambaye ni raia wa Serbia ametangazwa hii leo na #yangasc hii leo siku ya Ijumaa ya tarehe 28 Agosti 2020.


Inadaiwa amejiunga na Yanga kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea Polokwane City ya Afrika Kusini.


Kocha huyo anaonekana kuwa na mafanikio makubwa kunako soka la Afrika wakati rekodi yake inaonyesha amewahi Kutwaa Ubingwa wa Michuano ya Klabu Bingwa Afrika akiwa kocha msaidizi TP Mazembe 2015.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger