Kocha wa Yanga Atua Kimyakimya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


KOCHA mpya wa klabu ya Yanga, Zlatko Krmpotic, amewasili nchini leo Jumamosi, Agosti 29, 2020, asubuhi tayari kwa kuanza kutekeleza majukumu yake mapya ya kukinoa kikosi hicho cha Wanajangwani.



Zlatko ambaye ni raia wa Serbia amepewa kazi hiyo baada ya chaguo la kwanza la Yanga, Kocha Cedric Kaze, kushindwa kufika kwa wakati kutokana na matatizo ya kifamilia.



Pichani juu  Zlatko akipokelewa na Msemaji wa Klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad