8/04/2020

Kutana na LI Ching Yun, Binadamu Aliyeishi Miaka 256

FAHAMU kuwa LI CHING YUN, alikua Mganga wa tiba za jadi na kiongozi wa kimila huko China, Inasadikika kuwa Li ching yun aliishi miaka 256, Alizaliwa mwaka 1677 na kufariki tar 6 may mwaka 1933.

Kuna chuo kimepewa jina lake na kinatoa mafunzo ya imani za namna ya kuishi miaka mingi (Longevity Myths).
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger