8/29/2020

Kwanini Watu Maarufu Wengi ni Andunje?


Kautafiti kadogo nilikofanya chinichini kanaonyesha kuwa watu wengi maarufu hapa nchini ni "pipiro" aka andunje... yaani ni wafupi wa kimo.

Ukianzia kwa wasanii wetu wa muziki, bongofleva, maigizo, bongo muvi nk wengi ni vifupi balaa.. sitaki kutaja majina lakini kwa mnaowafahamu mtatupa uthibitisho. Na hii ni kwa wote wakiume na wakike.

Hata watangazaji wengi wa radio, tv nk yaani ukikutana nae "live" huwezi amini kama sauti ni yakwake kwa jinsi kalivyo kafupi.

Hata ukija mitandaoni ma slay queen wengi hasa wale wenye shape za maana na "ngongingo" kinachowaangusha ni wafupi hatari..

Je, kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya ufupi na umaarufu?
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger