8/05/2020

Lijualikali "Najuta Kwanini Nilichelewa Kuhamia CCM Kutoka CHADEMA...Aliyekuwa mbunge wa Kilombero kupitia chadema kabla ya kuhamia CCM, Peter Lijualikali amesema Ni kweli alipata kura 5 kwenye kura za maoni za kuwania Ubunge kupitia CCM lakini akasema si kweli kwamba alipata kura 2 za kugombea udiwani kama zinavyozagaa kwenye mitandao ya kijamii kwa kuwa hakugombea udiwani

Lijualikali amesema kwa Sasa anajuta kwa Nini alichelewa kuhamia CCM kutokana na upendo wanaomuonesha tangu alipohamia huko
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

1 comment:

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger