8/17/2020

Ma ex Girlfriends wa Mume Wangu Wameungana Kunishambulia


Mimi ni mama wa watoto wawili mapacha.
Niliolewa 2010 na kijana m handsome sana.
Sikufanya effort yeyote kumpata. Sikumwendea kwa waganga wala sikulala makaburini ili anioe.
Nilikutanae kwenye ndege na tulikaa pamoja, huo ulikuwa ndio mwanzo wa mapenzi yetu.
Miaka mitatu ya uchumba ilikuwa mitamu sana na haikuwa na makuu.
Baada ya kuolewa ndipo makasheshe yalipoanza.
Siku moja nikiwa dukani kwangu walikuja wadada wawili wakajitambulisha mmoja ni Jack na mwingine ni Irene, wakaniambia mume wangu alikuwa ni boyfriend wao kwa nyakati tofauti na hawawezi kuishi bila yeye.
Kwakweli nikaona ni kama sinema, wakaniomba niwape ruhusa wawe wanakuja nyumbani kulala na mume wangu.
Kwakweli walinikera, nikaondoka dukani na kurudi nyumbani huku nikilia kwa hasira.
Mzee alipokuja nikampa kisanga kizima.
Tangu hapo wanawake hao wamekuwa wakinisakama kwa msg za matusi.
Wanamtukana pia mume wangu kuwa eti nimemroga.
Kwa kweli wamekuwa ni kero kwa familia yetu.
Jamani sijui wadada wengine wameumbwaje?
Mume wangu kasema atawapeleka polisi iwapo watanifuata tena dukani. Dukani sasa hawaji ila tunakomaje na mitusi ya kwenye sms?
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

3 comments:

  1. Huyo mumemeo ni kicheche tu atomba nnje kuwa muangalifu sana sana dada marazi mengi bongo.

    ReplyDelete
  2. Huyo mumemeo ni kicheche tu atomba nnje kuwa muangalifu sana sana dada marazi mengi bongo.

    ReplyDelete
  3. ndo umemaliza hapo????.......haya asante kwa stori na pole

    ReplyDelete

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger