Madaktari waliokwama Nchini CUBA Sababu ya Corona Kurejea Nchini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wizara ya mambo ya nje imeeleza kundi la kwanza la Watanzania waliohitimu Udaktari nchini Cuba wanasafari leo Agosti 22 na kurejea nchini Tanzania  kwa usafiri wa ndege  baada ya kukwama Cuba kwasababu ya Corona.

Aidha imesema kuwa kundi hilo la watanzania  litasafiri kwa ndege maalum ya Ufaransa hadi Paris, kisha kupanda  ndege ya shirika la ndege ya Ethiopia Airline hadi Dar es salaam.

Biden, Harris wajipanga kumng’oa Trump
Ambapo kundi la pili la watanzania waliokwama nchini Cuba litarejea nchini tarehe 4 Septemba 2020.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad