Madhara kwa Mwanaume na Mwanamke Kushiriki Tendo Wakati wa Hedhi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kwa mujibu wa wataalamu wametoa maelezo mafupi juu ya maana sahihi ya hedhi na kusema kuwa ni kipindi maalumu katika mzunguko wa mwanamke mwenye umri wa kuzaa. Wakati huo, ambao kwa kawaida unarudi kila baada ya mwezi mmoja kwa  kutokwa na damu kwenye uke.

Ni vyema kufahamu mambo kadhaa hasa yanayohusu masuala ya afya ambayo muda mwingine tunaweza kuwa tunayafanya bila kutambua madhara yake.

Madaktari katika tafiti zao walichambua baadhi ya madhara kwa mwanamke na mwanaume kushiriki tendo wakati wa hedhi.

Ambapo kwa upande wa mwanaume takribani madhara 6 yaliweza kuainishwa yakiwemo.

Faida 6 za mjamzito kushiriki tendo

  • Kupata maambukizi katika njia ya mkojo hadi kwenye kibofu
  • Maambukizi katika tezi dume, hii inaweza kuathiri mfumo wa uzazi wa mwanaume.
  • Kuziba kwa njia ya mkojo
  • Utasa au ugumba
  • Ulegevu wa misuli ya uume na upungufu wa nguvu za kiume
  • Athari mbaya ya kisaikolojia kwa kufanya tendo katika mazingira yasiyo safi hali inayoweza kupelekea kutolifurahia.
  • Lakini pia madaktari hao waliweza kuainisha athari za kushiriki tendo kwa mwanamke aliye mwezini.


Kupata maambukizi katika viungo vya ndani vya uzazi kama vile shingo ya kizazi, mirija ya uzazi kwa ujumla anaweza kupata matatizo na kuathiri mfumo wake wa uzazi
Maumivu makali ya tumbo hasa kwa wale wanaopatwa na maumivu wakati wa hedhi
Utokali damu unaweza ukaongezeka kuliko vile inavyotoka kwa kawaida
Utasa au Ugumba
Kuvimba kwa kuta za ndani za uke kwa kuwa wakati wa hedhi zenyewe huwa tayari zimevimba kweney uke wakati wa tendo
Mwanamke hiathirika kisaikolojia n akutokufarahia tendo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad