google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Makonda Afunguka "Wengi Walibweka Kama Mbwa Mwitu Lakini Rais Wetu Aliziba Masikio, Nimeondoka Mwenyewe" | UDAKU SPECIAL

Makonda Afunguka "Wengi Walibweka Kama Mbwa Mwitu Lakini Rais Wetu Aliziba Masikio, Nimeondoka Mwenyewe"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





"Rais Magufuli aliamini katika Vijana nikiwa Kijana wa kwanza kupewa majukumu katika Mkoa mkubwa na kuacha alama itakayodumu milele, namshukuru JPM kwa mambo mengi ikiwemo uvumilivu wake, ukiteuliwa unaanza kufanya kazi, kazi unayofanya inaweza kuleta kelele na mbwa mwitu wengi wakawa wanabweka lakini Rais wetu aliziba masikio akaendela kuniamini na Tarehe 15 nimeondoka mwenyewe ikiwa ni ishara ya kukubali kazi niliyofanya na kuamini ya kwamba sasa umefika wakati uende kwenye majukumu mengine"- aliyekuwa RC DSM Paul Makonda @baba_keagan akikabidhi ofisi kwa RC Kunenge
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad