Mama Aliniambia Baba yangu Aliondoka Nikiwa Natambaa, Hakurudi Tena- Shilole

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Katika Mahojiano Aliyofanya C.E.O Wa Shishi Food Shilole  Amefunguka Kuhusu Kutomjua Baba Yake Nakusema Kuwa Baba Yake Aliondoka Miaka Mingi Zamani Tangu Akiwa Anatambaa
"Mama aliniambia Baba yangu aliondoka nikiwa natambaa, hakurudi tena sasa hadi hafikisha miaka saba sikuwahi kumuona baba, hadi mama anafariki sikuwahi kumuona baba, sikuwahi kupata historia yoyote kuhusu baba, niliambiwa kuwa baba yangu yupo ila sijawahi kumuona anaitwa Mzee Mohammed Yusuf, nimekuja kujua juzi tu kama miaka mitatu iliyopita.'' Shilole
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad