8/27/2020

Mambo Yanazidi Kuwa Magumu TIK TOK...CEO Wao Amejiuzulu


 CEO wa kampuni ya TikTok Kevin Mayer ametangaza kujiuzulu baada ya kuitumikia kampuni hiyo kwa miaka mitatu. Hii imekuja baada ya mpango wa Trump kuiondoa TikTok Marekani.

Tamko la Kevin kuiacha TikTok limetumwa kwa wafanyakazi wa mtandao huo kupitia barua pepe ambayo iliandikwa "Ninaelewa kuhusu nafasi niliyokuwa naitumikia, ikiwemo kuiendesha TikTok ulimwengu mzima. Nitaonekana wa toafuti sana lakini ni matokeo ya utawala wa Marekani na mpango wake wa kutaka kuiondoa TikTok au kutaka iuzwe kwa makampuni ya Marekani." aliandika Kevin.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger