8/11/2020

Manara Atoa Mpya "Ipigwe Mechi Moja Kati ya Simba na Yanga, Atakayeshinda Amchukue Morrison"


Baada ya Sintofahamu inayoendelea kwa muda sasa kuhusu Sakata la Mchezaji Bernard Morison , Msemaji wa Simba Sports Club Haji Manara ameamua kutoa ushauri utakao saidia kumaliza utata uliopo .

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Haji Manara ameshauri ichezwe mechi kati ya Simba na Yanga na mshindi katika mechi hiyo ndio akabidhiwe Mchezaji huyo
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger