8/27/2020

Maneno ya Wema Sepetu kwa Carlinhos “nina hamu na mechi, tupate moja”Kupitia ukurasa wa Instgram wa staa wa filamu Wema Sepetu amempost na kumpa ujumbe mzito mchezaji mpya wa timu Yanga Carlinhos Carmo10 kwa kumwambia wanachokitaka ni ubingwa tu, kisha ndiyo wataanza kuongea lugha moja.

“Tunachotaka sisi mpate ubingwa tena mara saba alafu ndo tuanze kuongea lugha moja, na zitabaki saba hivyo hivyo maana ubingwa ni wetu round hii karibu sana, halafu nasikia harufu ya mechi mechi hivi karibuni au ni mimi tu, nataka tupate mechi moja bwana, au unasemaje Engineer Makini“ Wema Sepetu
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger