8/01/2020

Marekani Yasema Tanzania Ni Salama KutembeleaIDARA ya Ushauri wa Afya ya Marekani imeitaja nchi ya Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi salama ambazo wananchi wake (Wamarekani) wanaweza kuitembelea katika majira haya ya joto.


 


Taarifa iliyotolewa na idara hiyo na kutangazwa na kituo cha Televisheni cha CNN, imesema wananchi wake wanaweza kuitembelea Tanzania lakini wakifika lazima wafanye vipimo vya Covid-19 kabla ya kuendelea na shughuli zao.


 


Hivi karibuni Serikali ya Tanzania kupitia kwa Rais  John Magufuli  ilifungua milango kwa watalii kutoka nchi mbalimbali kuja kuitembelea na kwamba ugonjwa wa Covid-19 umedhibitiwa hapa nchini lakini ni vyema wananchi na wageni kuendelea kuchukua tahadhari.


 


Wamarekani wanaruhusiwa kuingia kwenye nchi hizi bila masharti:


Albania

Dominican Republic

Kosovo

Maldives

Mexico

North Macedonia

Serbia

Tunisia

Turkey

Wamarekani wanaruhusiwa kuingia kwenye nchi hizi kwa masharti ya kupima Covid-19.


Antigua and Barbuda 

Aruba 

Barbados 

Belize 

Bermuda 

Cambodia 

Croatia 

Dominica 

Ecuador 

Egypt 

French Polynesia 

Ireland 

Jamaica 

Rwanda 

St. Barts 

St. Lucia 

St. Maarten 

St. Vincent and Grenadines 

Tanzania 

Turks and Caicos 

Ukraine 

United Arab Emirates 

United Kingdom 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger