8/03/2020

Masai Laizer Sio Mchezo Aisee, Kuuza Jiwe la Tatu la Tanzanite Lenya Thamani ya Mabilioni


Mamia ya Watanzania wamejitokeza katika migodi ya mirerani iliyopo mkoani Manyara nchini Tanzania kushuhudia mnada wa madini ya Tanzanite, ambapo mchimbaji maarufu Saniniu Laizer anatarajiwa kuuza jiwe la kilo 6.3.

Hii ni mara ya pili katika kipindi kisichozidi miezi miwili ambapo mchimba madini huyo kugundua mawe makubwa zaidi ya madini hayo yanayopatikana kaskazini mwa Tanzania tu.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger