8/16/2020

Mfanyabiashara Taalib Mbowe Mikononi Mwa TakukuruTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia kwa mahojiano Mfanyabiashara ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya White Star Investment ya Jijini Dar, Taalib Karim Mbowe


Kampuni hiyo inafanya biashara ya usafirishaji ndani na nje ya nchi kwa kutumia malori na Mmiliki wake, Taalib anachunguzwa kwa makosa ya ukwepaji kodi, udanganyifu na Utakatishaji Fedha haramuPia, TAKUKURU inachunguza umiliki wa vichwa vya malori zaidi ya 100 vya mfanyabiashara huyo pamoja na mikopo yake ya zaidi ya Dola za Marekani 3,000,000 kutoka Barclays na Dola 540,000 kutoka Equity Bank


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

1 comment:

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger