8/08/2020

Miaka Mitano ya Mzee Yusuph, Miezi 7 ya MavokoSiku ya Jana Julai 7 ilikuwa weekend ndevu sana hapa kwenye Jiji la Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Abubakar Kunenge kwa sababu kulikuwa na matukio mawili makubwa ya burudani ambapo Rich Mavoko alikuwa anaachia Minitapae yake huku Mzee Yusuph akirudi.Kwa upande wa Rich Mavoko alikuwa kimya miezi saba bila ya kuachia kazi mpya, kuonekana kwenye shughuli za burudani, mahojiano na kutotumia mtandao wa Instagram jambo ambalo lilizua maswali kwa mashabiki juu ya ukimya wake.

Kwa hiyo siku ya jana alifanikiwa kuachia Minitape yake ambayo inangoma nane huku akiwaalika mastaa kama Jux, Ebitoke, Nedy Music, Mwijaku, Shetta na Barnaba kuhudhuria tukio hilo.

Mzee Yusuph alitangaza kuacha muziki miaka mitano iliyopita ila siku jana ameweza kurudi mjini kwa mara na kutoa nyimbo mpya na kufanya show mbele ya mamia ya watu walijitokeza huku akisema Taarab haijafa bali watu walimiss uwepo wake.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger