8/07/2020

Michelle Obama "Silali Usiku Sababu ya Utawala Mbovu wa Donald Trump"

"Ninaamka usiku wa manane kwasababu nina wasiwasi juu ya kitu fulani au nawaza kuhusu mzigo mzito ninaoubeba moyoni.

"Huu sio wakati mzuri, kiroho. Najua ninakabiliana na kiwango fulani cha sonona.

"Sio tu kwasababu ya karantini, lakini kwasababu ya ubaguzi wa rangi, na kushuhudia tu utawala huu wa Donald Trump, na kutazama unafiki ndani yake, kila uchao, kunavunja moyo."

Mke wa rais mstaafu wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama amekiri kuwa anaugua sonona (Depression).

Michelle anasema anapitia matatizo na amekuwa na changamoto ya kuendeleza ratiba yake ya kufanya mazoezi ya viungo na kulala.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger