Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Mke wa mtu amponza Waziri wa Elimu wa Zambia, atumbuliwa

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURERais wa Zambia Edgar Lungu amemfukuza kazi Waziri wa Elimu nchini humo David Mabumba baada ya kuvuja kwa video ya ngono inayomuonesha Mabumba akifanya vitendo vya ngono na Mwanamke kwa njia ya simu(video call), inadaiwa kuwa Mwanamke huyo aliyechepuka na Waziri Mabumba ni Mke wa Mtu na wakati wanafanya kitendo hicho Waziri alikuwa kajitenga Karantini baada ya kukaa karibu na mgonjwa wa corona.

Post a Comment

0 Comments