8/20/2020

Mkubwa Fella achaguliwa kuiwakilisha CCM katika nafasi ya udiwani


Kutoka Kwenye Ukurasa Wa Instagrma Wa Meneja Wa DIAMOND PLATNUMZ Mkubwa Fella Ameshare Furaha Yake Baada Yakuchaguliwa Tena Kukiwalisha Chama Chake Katika Nafasi Ya Udiwani Katika Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka 2020

Kupitia Ukurasa Wa Instagram MKUBWA FELLA Ameandika....

''Asantee chama changu CCM kwa kunipa kijiti nikimbie nacho tena kuipambania kata yetu ya kilungule tulianza na MUNGU 2015 tukamaliza Na MUNGU 2020 tunaanza na MUNGU Inshallah tutamaliza na mwenyezi MUNGU Mimi na MH RAIS WANGU MZEE MAGUFULI'' @mkubwafellatmk
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger