8/04/2020

Mkwassa Apigwa Chini YangaKamati ya ufundi ya klabu ya Yanga imefanya mabadiliko kwenye benchi la ufundi la kalbu hiyo kwa kuacha na kocha msaidizi Boniface Mkwassa na kuwapangia majukumu mengine baadhi ya watendaji wa benchi hilo.

Uamuzi wa Yanga umetangazwa leo na mwenyekiti wa kamati hiyo Dominick Albunis kwa lengo la kuleta mabadiliko ya kiundetaji wa klabu hiyo.

Kwenye taarifa iliyotolewa na Yanga wengine walitolewa kwenye benchi la ufundi ni kocha wa makipa Peter Manyika na meneja wa timu Abeid Mziba, kit manager Fred Mbuna ambao kwa pamoja watapangiwa Majukumu mengine.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger