8/06/2020

Mlipuko Lebanon Vifo Vyaongezeka Vyafikia 130Ripoti kutoka Lebanon zinasema hadi sasa Watu zaidi ya 130 wamethibitika kufariki kutokana na mlipuko uliotokea Bandari ya Beirut juzi August 04,2020, Watu wengine zaidi ya 4000 wamejeruhiwa, Rais wa Lebanon amesisitiza kuwa uchunguzi kuhusu tukio hilo unaendelea.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger