google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Msaada kutoka Uturuki wawasili nchini Lebanon | UDAKU SPECIAL

Msaada kutoka Uturuki wawasili nchini Lebanon

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Ndege  kutoka nchini Uturuki ilio na msaada wa vifaa vya matibabu na mdawa wawsili nchini Lebanon ikiwa ni moja ya hatua ya ushirikiano baada ya mji huo kukumbwa na jali ya moto uliotokea katika   bandari ya Beyruth. 


Watu  zaidi ya 130 wamefariki katika mlipuko huo uliotokea  mjini humo Agosti 4. 


Wauguzi na wataalamu wa afya katika matukio ya dharura  21 kutoka Uturuki  wamewasili pia mjini Beyruth. 


Maafisa wa shirika la AFAD na Kızılay ni miongoni mwa  watu waliosafiri na ndege hiyo  kuelekea nchini Lebanon. 


Wizara ya ulinzi ya Uturuki kupitia ukurasa wake wa Twitter imepeperusha ujumbe wa pole na kufahamisha kwamba ndege ilio na msaada wa madawa imewasili mjini Beyruth. 


Safari ya ndege hiyo ilianzia uwanja wa ndege wa jeshi mjini Ankara.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad