8/13/2020

Msafara wa Alikiba na Wasanii Wenzake Ulivyosindikizwa na Mashabiki mpaka Hotelini Usiku (+Video)


Baada ya @officialalikiba kufika KIGOMA na kuusimamisha mji kwa masaa kadhaa na shughuli za Kigoma kusimama kupisha mapokezi ya @officialalikiba na wasanii wenzake kama @marioo_tz @bilnassofficial @tommyflavour @officialabdukibaa @rhinoking_ na @abbyskillz_tz mashabiki waliona ni vyema kuwasindikuza wasanii wao mpaka hotelini.

Na hivi ndivyo ilivyokuwa baada ya @officialalikiba kwenda #Live kupitia Instagram yake, shuhudia msafara kwa ukaribu zaidi.

Bongo5 tupo hapa Kwa ajili ya kukuletea kila kinachoendelea kutoka Kigoma kuanzia mwanzo wa tukio mpaka mwisho wa tukio kaa karibu nasi kushuhudia matukio yote na @officialalikiba shughuli ndio kwanza inaanza.

VIDEO:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger