Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Msaliti Haombi Msamaha Kwa Sababu Amesaliti Bali Anaomba Msamaha kwa Sababu Amegundulika

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREKuna thread moja nimeiona, mdada anaomba ushauri jinsi ya kuishi na mume anaye-cheat. Sasa katika michango ya wadau nimeona wengi wanamshauri mwanamke amsamehe mumewe eti kwa kuwa ameomba msamaha.

Kitu ambacho watu wengi hawajui ni kuwa "Msaliti haombi msamaha kwa sababu amesaliti bali anaomba msamaha kwa sababu amegundulika"

Hivyo basi naomba kutoa rai kwa wanandoa wote kuwa, kama wewe haucheat ila ukagundua mwenza wako anakusaliti na ukawa na ushahidi kwa 100%, vunja hiyo ndoa, na usiwe na wasiwasi wowote MUNGU atakupa mume /mke mwengine aliyekuwa mwema kwa kuwa MUNGU hamtupi mja wake mwema.

NB:- "Mwana ndoa ni bora ulale peke yako kuliko kulala na mtu anaelala na mtu mwengine nje".

Post a Comment

0 Comments