8/12/2020

Msanii Nandy Anaswa Akifanyiwa Uchawi na Mganga ili Muziki Wake Uende....Tazama Picha


Picha mpya za Msanii Nandy zinamuonesha akiwa amevalia kama mganga wa kienyeji na inahisiwa kuwa huenda hayo ni maandalizi ya ujio wa video ya wimbo wake mpya ambao anatarajia kuachia wiki hii.. je unahisi hiyo video itakuwa imebeba ujumbe gani?
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger