Msemaji wa Insta Mwijaku Amehaidi Kutembea Uchi Tena Rich Mavoko Asipotajwa Billboard Mwaka Huu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msemaji Mkuu wa Mambo ya Kimbea mbea huko Instagram Mwijaku amesema kwasasa msanii namba moja Tanzania ni Rich Mavoko na kwa mwaka huu Billboard wasipomtaja Mavoko basi yeye Mwijaku atatembea uchi, Hii ni kauli yake ya pili baada ya ile ya kwanza kusema hivyo kuwa ikitokea Diamond Platnumz atamuoa Tanasha Donna Basi Atetembea uchi na kweli Mondi Hakuweza Kumuoa Tanasha
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad