8/12/2020

Mwakyembe Awachana Viongozi wa Michezo "Kwangu Kesi ya Morrison Haitachukua Danika 10"Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amesema mgogogro unaondelea kati ya Mchezaji wa kimataifa Bernard Morrison dhidi ya Yanga na Simba ukifika katika ofisi yake atatumia muda wa dakika kumi kuumaliza.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger