8/24/2020

Mwana FA Achukua Fomu ya Kugombea UbungeBaada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumpitisha kuwa Mgombea Ubunge, msanii Hamisi Mwijuma maarufu kama @Mwanafa jana amechukua fomu ya kugombea Ubunge kwenye Jimbo la Muheza mkoani Tanga huku akisindikizwa na mamia ya wakazi wa mji huo.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger