8/03/2020

Mwanajeshi Aua Watu 12 Baada ya Kubwia Pombe ya Kutosha na Kulewa

Mwanajeshi mmoja katika eneo la Sange nchini Congo ambaye alilewa pombe, amewafyatulia risasi wapita njia na kuwaua Watu 12 akiwemo Mtoto wa kike mwenye umri miaka miwili, majeruhi 9 wa tukio hilo wamelazwa
“Wanajeshi na Kikosi cha UN wamefika eneo la tukio kuwatuliza Raia ambao wameandamana kulaani mauaji hayo”
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger