8/27/2020

Mwanamuziki AKON Afunguka Kwanini Alimkataa Drake na Kutomsign Katika Lebo yake Mwana 2005

Mwaka 2015, Akon aliwahi kufunguka kwamba aliacha kumsaini Drake kisa hakuvutiwa na jinsi ambavyo alikuwa anasikika (Sound) kwa wakati huo kabla ya kuachia ngoma yake ya muda wote, Best I Ever Had.

Jana (August 24) Akon ameyarudia tena maneno yake kwenye mahojiano na Vlad TV, amesema alishindwa kumsaini Drizzy kwa sababu alikuwa anasikika (sound) kama Eminem
-
"Kardinal Offishall alimleta Drake kwangu mwaka 2005, ilikuwa kabla ya Best I Ever Had haijatusua, kilikuwa ni kile kipindi cha watu wengi wanaachia Mixtape, kwa muda ule amini usiamini, Sauti ya Drake kwenye nyimbo zake, ilisikika kama Eminem." amesema Akon.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger