8/19/2020

Mwanamuziki Linah Sanga APATA Kigugumizi Kuhusu Bernard MorissonKumekuwa na tetesi zikimuhusu msanii wa Bongo Fleva Linah Sanga "Ndege mnana" kwamba yupo kwenye mahusiano na mchezaji wa timu ya Simba ambaye ni Raia wa Ghana bwana Benard Morisson.


Sasa Kamera za EATV & EA Radio Digital zimekutana na msanii huyo ambaye amejibu kuhusu tuhuma hizo ambapo ukitazama kwenye video hapo chini alikuwa kama amepata mchecheto na kutaka kusita kuliongelea suala hilo.

"Benard Morisson ni rafiki yangu na shabiki yangu mkubwa na tulikutana Instagram, hata alivyokuja Bongo hakuniambia ila nilisikia story tu, kuna siku nilienda mahali kukutana na marafiki zangu wengine kuna mtu akanifuata kuniambia Morisson anakuita kwahiyo nikaenda nyumbani kwao nikamkuta yupo sebuleni wanacheza PS kisha tukapiga picha" amesema Linah 
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger