8/16/2020

Ni mtamu, Shape Nzuri, Lakini Namuacha kwa Hili

Aisee asikwambie mtu, mi ni mroho wa shape za kibantu zilizojaaliwa kalio la kutosha kumtoa nyoka pangoni. Sikosi kugeuka nikiona sampuli ya hivyo ikipita nasindikiza kwa macho hadi anakoishia ama kumfuata na kufanya application kabisa.

Juzi kati nimefanikiwa kunasa mdada mmoja mwenye vigezo kama hivyo ni nikafanikiwa kuwa naye ni mzuri sana

Baada ya kukolea nami akataka kujenga uhusiano wa kudumu japo hata kwa mchepuko ama nyumba ndogo! Kwa jinsi hata mi nilivyokolea kwake nikamkubalia.

Kitakachofanya nimuache pamoja na vigezo vyake vizuri, ni kwamba ana majini na kaniambia yeye mwenyewe , kanitajia idadi na majina ya hayo majini hadi nikaogopa.

Yaani hapo nawaza hivi siku yakicharuka hayo madude yake japo sijui huwa yanafanyaje, si itakuwa balaa.

Aisee kwa kweli naachia ngazi huku bado nalitamani hilo dada la kibantu lilioumbika vizuri, limeenea kila idara.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

6 comments:

 1. Udaku wacheni upumbavu wa kurudia habari kama hamuna jipya jipeni muda mukapumzike

  ReplyDelete
 2. Achaa tamaa xaxa utakuja kufa wewe

  ReplyDelete
 3. Pole sana maana tayari kakuachia mengine

  ReplyDelete
 4. Very sorry for that lakini kama tatozo ni hilo la mashetani yantibika nami nayatibu ila kwa njia isiyokuwa ya kishirikina ya makafara na takataka nyinginezo. Dawa tu dua na kisomo bas. Kama vipi mlete nimsaidie huyo dada. 0715486176

  ReplyDelete
 5. Veru sorry lakini hilo tatizo ni dogo na mudu kukusaidia. La msingi nitafute kweny 0715486176 na shuulika na tiba hizo

  ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger