8/08/2020

Nicolas Wadada apewa tuzo ya beki bora VPLNICOLAS Wadada, beki wa Azam FC leo Agosti 7 amekabidhiwa tuzo ya beki bora kwa msimu wa 2019/20.


Wadada amewashinda wachezaji wenzake aliokuwa akipambana nao ambao ni Bakari Mwamnyeto wa Coastal Union mwenye bao moja na David Luhende wa Kagera Sugar mwenye pasi nne za mabao na amecheza mechi zote 38 za Ligi Kuu Bara.

Wadada amehusika kwenye jumla ya mabao tisa ya Azam FC akifunga bao moja na kutoa pasi moja kati ya mabao 52 yaliyofungwa na Azam FC iliyo nafasi ya tatu kwenye msimamo.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger