8/20/2020

'Nikipata Urais Makahaba na Mashoga Wataenda JELA Miezi Sita na Kuchapwa Viboko 200" Mgombea Urais


Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Kijamii (CCK) amesema mashoga, wasagaji na makahaba wanatia aibu nchi

Kama atapata Urais atatunga sheria ambayo watu wa makundi hayo watakuwa wanachapwa viboko 200 na wataenda jela miezi sita

Kitu kingine atakachosimamia ni kuhakikisha vyombo vya habari vinakuwa huru na mafisadi na watakatishaji pesa wataenda jela miaka 50 na kupigwa viboko 200

Kuhusu gharama za kampeni chama hiko hakipati ruzuku kwa kuwa hakina Wabunge hivyo, gharama za kampeni hutokana na michango ya ndugu, jamaa na marafiki
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger