8/19/2020

‘Nilimchumbia kwa Miaka 4,’Mwanamume Aeleza Jinsi Alichumbia Maiti Bila Kujua


Mwanamitandao mmoja anayefahamika kama Pluto-GP aliwaacha wengi wakiwa wamepigwa na butwaa baada ya kueleza jinsi alimtia mimba mwanamke bila ya kujua alikuwa maiti.

Kulingana na mwanamume huyo alijua kuwa mpenzi wake alikuwa maiti baada ya kuenda kuwatembelea wazazi wake nyumbani.

Alikuwa anaenda kulipa pesa za uharibifu ambazo katika afrika mashariki mwanamume hulioa baada ya kumpea mwanamke ujauzito kama hajamuoa.

Huu hapa usimulizi wake;

“Nilimchumbia mwanamke kwa miaka minne, alipata ujauzito na kuzaa mtoto mwenye afya, sikuwa nimepatana na familia yake awali tuliamua kupeleka uhusiano wetu kiwango kingine

Kulipa uharibifu kwanza na Lobola alinipeleka kwa wazazi wake, lakini walianza kulia nilijitambulisha, nilichanganyikiwa nikashindwa hasa nini kinaendelea msichana wangu alikuwa ameketi kando yangu bila kusema chochote,”Pluto Alieleza.

Baba ya mpenzi wake alimwambia jambo ambalo lilimshutua sana,

“Msichana wetu aliaga dunia miaka misita iliyopita, aliniambia baba yake, walinipeleka katika kaburi lake ambapo nilipata koti ambalo alikuwa amelivalia tukienda kwao na nilikuwa nimemnunulia

Nilihitaji kiti papo kwa hapo, nilirudi nyumbani ambapo tulikuwa tumeacha mtoto wetu na nikampataa, atafikisha miaka miwili miezi miwili ijayo.”

Huku akiwa na mshtuko Pluto alisema kuwa hajaamini na hajawahi amini kuwa aliffanya ngono na maiti kwa miaka minne bila ya yeye kujuwa wala kufahamu chochote.

“Siwezi amini kuwa nilifanya ngono na maiti, kama hatungeenda kwa wazazi wake singejuwa hayo yote, je nitamueleza aje mtoto wangu atakapo kuwa mkubwa mama yako alikufa mika sita kabla haujazaliwa?2020 nimalize tafadhali nina kumbukumbu ya jinsi wazazi wake walipiga nduru nilipowaeleza nimekuja kulipa pesa za uharibifu amabao nilimfanyia mtoto wao ambaye amekufa.” Alisimulia.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger