"Nilimpeleka Rich Mavoko kwa Mganga Afanikiwe Maishani" Aliyekuwa Meneja Wake Afichua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Huku akiwa kwenye mahojiano na EATV, aliyekuwa meneja wa staa wa bongo Rich Maviko, Maneno alifichua mambo ambayo wengi hawakufahamu huku mojawapo ikiwa alimpeleka staa huyo kwa mganga ili afanikiwe maishani.

Maneno pia alidokezea kwamba walitofautiana na msanii huyo kisha wakanyamaziana kwa muda wa miaka sita bila ya kusemezana licha ya kukutana ana kwa ana katika shughuli za usanii.


Aidha alibainisha kuwa sasa msanii huo hatumii nguvu za uchawi na hayo ni ya zamani,

“Kwa Mganga tulienda kwa sababu zile zilikuwa mbinu za njia za kupita ili kuweza kufanikiwa, usitegemee kutuona tena kwa waganga ila tegemeeni kuona muunganiko mzuri kwetu na kumuona Rich Mavoko anakwenda sehemu nzuri, mambo mengine yote yamepita na tumeweza kusuluhisha.” Alidai Maneno.

 Maneno pia alimshauri Mavoko kuendelea kuachilia ngoma baada ya nyingine kwani yeye ndiye mfalme wa mziki Tanzania na mashabiki wake wanamuhitaji.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad