8/19/2020

Nimekuta Picha za Utupu za Girlfriend Wangu Kwenye Simu yake...Ushauri Please

Jamani Wapendwa ya Leo imenikalia Pabaya  yaani, My girl kaja kulala kwangu ili leo tusherekee wote hii siku kuna mahali tunaenda out of Town, ila sasa asubuhi ya leo wakati tunajiandaa nikachukua simu yake nikawa nampiga picha alivyopendeza baada ya kuvaaa sasa katika kuziangalia zile picha nikakutana na picha zingine za utupu alizopiga like one week ago, Sasa najiuliza hizo picha alipiga kwa ajili ya nani je alimtumia mtu maana kama ni mimi hakunitumia, nimemuuliza anasema alijipiga kujifurahisha, Nikajiongeza nikaenda kwenye File Manager kule nikazikuta kwenye sent upande wa Whats Images ila haionyeshi aliyetumiwa..Yaani hapa niko nae ila kama simwamini tena jamani naombeni ushauri.

By Lewis
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger