4/18/2022

Nimemkuta Mume Wangu Akifanya Ngono na House Girl wa Jirani Yetu

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA
Juzi nilikuwa naenda kazini nikamuacha mume wangu
nyumbani anaangalia TV, gari langu likazima ghafla kiasi cha
kilomita moja toka nyumbani.

Nikaona nitembee mpaka nyumbani kumwomba mume wangu aje anisaidie kutengezagari, kwa mshangao wangu nilipofika nyumbani nikamkuta mume wangu yuko chumbani na msichana wa kazi wa nyumba ya jirani. Mume wangu ana miaka 43, mimi nina miaka 39 na msichana huyo ana miaka 19 hivi.Tumekuwa katika ndoa kwa miaka 10. Nilipomuuliza mume wangu alikubali kuwa uhusiano wao umekuwa ukiendelea kwa miezi sita sasa, nifanye nini mimi?

NISHAURINI NIFANYAJE NDUGU ZANGU...
SHARE HII TAFADHALI
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

2 comments:

  1. nenda kazini kwanza ukirudi tu utamkututa mumeo au house girl hawapo kwa aibu.

    ReplyDelete
  2. Kwani huyo house girl akiondoka nayo?

    ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger