8/18/2020

Obama atoa orodha ya nyimbo anazozisikiliza 2020, ukiwemo wa WizkidRais wa zamani wa Marekani Barack Obama ametoa orodha yake ya nyimbo 2020

Smile, au tabasamuwimbo ulioimbwa na mwanamuziki wa Nigeria Wizkid, ni miongoni mwa nyimbo 53 zilizomo kwenye orodha hiyo.

Wengine ambao nyimbo zao zimo katika orodha hiyo ni Beyonce, Rihanna, Nas, J. Cole, Nina Simone na Frank Ocean.

Bwana Obama amesema kuwa baadhi ya nyimbo hizo zitachezwa wakati wakongamano la kitaifa la chama chaDemocratic cha wiki hii ambalo lilifunguliwa jana usiku.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger