Akizungumza na Risasi Ommy Dimpoz amesema kuwa kwa jinsi anavyopena kupendeza huwa hawezi kupitwa na fasheni na akipenda nguo haya ikiwa na gharama lazima anunue.
“Kwa mimi hata ukininyima chakula wala sinatumia roho, ila sasa ukitaka kugombana na mimi niambie usinunue nguo, hapo tutaonana wabaya napenda sana kupendeza pia napenda kwenda na fasheni kiujumla”alisema Ommy Dimpoz.
Stori: Khadija Bakari
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
0 Comments