Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

PABLO ESCOBAR: Mfalme wa Cocaine, Anadaiwa Kuuwa Watu 70,000


Kutana na Pablo Emiliano Escobar mzaliwa wa Colombia ambaye alifahamika kama Mfalme wa Cocaine kutokana na kazi yake ya usamabazaji wa dawa za kulenya aina ya Cocaine nchini Marekani na Colombia.

Kutokana na kazi yake ya uuzaji wa dawa za kulevya jeshi la Marekani pamoja na Colombia liliungana ili kumkamata Pablo Escobar mwaka 1993 na ndipo walipofanikiwa kumuua kwa kumpiga risasi ya kichwa mnamo December 2,1993. Bonyeza PLAY kusikiliza historia.

 VIDEO:

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments