AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
"Asilimia 70 na huu Mkoa ni wambea na wanapenda Umbea kuliko chochote kile Usikubali wakuchinganishe na RC wako........ Endelea kuwa focused na Utumishi, Mheshimiwa Rais amewaamini na anaamini mtamsaidia katika utumishi wake hasa katika kuwatumikia wanyonge wa mji huu wa Dar es salaam." - aliyekuwa RC DSM Paul Makonda @baba_keagan akikabidhi ofisi kwa RC mpya Mhe. Aboubakar Kunenge
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK