AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda atarajia kukabidhi rasmi ofisi hii leo Agosti 3, 2020, kwa Mkuu wa Mkoa huo wa sasa Aboubakar Kunenge.
Toka aondoke kuwa mkuu wa mkoa wa Dar Makonda amekua kimya lakini kupitia akaunti yake amesema leo ndio atawaaa rasmi wana Dar es Salaam.
Kupitia ukurasa wake wa instagram Makonda ameandika ujumbe huu:-
“Kesho saa NNE asbh safari yangu ya Ukuu wa Mkoa inahitimishwa na tukio la Kukabidhi ofc. Hakika Mungu amejitawalia utukifu wake kwa kazi isiyokuwa na Mikono milegevu. Kesho nitawaaga RASMI WANA DSM”
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK