8/04/2020

Paul Makonda "Naumia Sijawapima Tezi DUME Wanaume wa Dar"Aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kinachomuumiza na kumsikitisha ni kumaliza utumishi wake bila ya kuwapima wakazi wa Dar tezi dume.

"Katika vitu ninavyojutia, vipo vingi, ila hichi cha kuondoka bila kuwapima tezi dume nyumba kwa nyumba, mlango kwa mlango, linaniumiza sana," amesema na kuongeza

"Inanitesa sana, watu wanaona aibu kupima, lakini ukienda hospitali utaona wagonjwa wanavyoteseka. Laiti ningepata nafasi nyingine nitafurahi sana ili nitekeleze hili," Makonda
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger